Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Poleni kwa msiba,
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Sven Vandebrock ameishtaki klabu ya simba fifa kwakuwa klabu hiyo imeshindwa kumlipa kiasi cha Tshs 101 milioni kama hela za mishahara na posho.
Mawakili tayari washaandaa mashtaka muda wowote mashtaka yatafikishwa makao makuu ya fifa pale jijini Zurich, Uswisi.
My take
MO na Simba acheni janja janja, njia ya muongo siku zote ni fupi.