Swabat kwa wanaume na wanawake baada ya kunyoa ili kuzuia mapele

Swabat kwa wanaume na wanawake baada ya kunyoa ili kuzuia mapele

Naombeni maelezo ya kina nataka kua msafi kwa kuondoa mapele yote usoni baada ya kunyoa
 
Nimeenda kuulizia kwa mhindi mmoja nikamwambia Swabat akadai haijui nikamuonesha picha akasema inaitwa Shabu kibongo bongo, kumbe ni Shabu mkuu, kama ni hiyo basi inapatikana hata masokoni huko. Shabu
BEI GANI mkuu
 
Na bora mana mie nikinyoa vya mikono Na miguu mda mwenyewe vinaotea viupele
 
Tumia after shave cream. Au kama hiyo ni gharama tumia alcohol kama whiskey ...paka kwenye pamba na sugua sehemu uliyo nyoa. Hata konyagi inafaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom