Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,495 Reaction score 5,025 Jul 2, 2018 #21 Naombeni maelezo ya kina nataka kua msafi kwa kuondoa mapele yote usoni baada ya kunyoa
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,884 Jul 4, 2018 #22 Bigbootylover said: Nimeenda kuulizia kwa mhindi mmoja nikamwambia Swabat akadai haijui nikamuonesha picha akasema inaitwa Shabu kibongo bongo, kumbe ni Shabu mkuu, kama ni hiyo basi inapatikana hata masokoni huko. Shabu Click to expand... BEI GANI mkuu
Bigbootylover said: Nimeenda kuulizia kwa mhindi mmoja nikamwambia Swabat akadai haijui nikamuonesha picha akasema inaitwa Shabu kibongo bongo, kumbe ni Shabu mkuu, kama ni hiyo basi inapatikana hata masokoni huko. Shabu Click to expand... BEI GANI mkuu
Bigbootylover JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 2,847 Reaction score 1,828 Jul 27, 2018 #23 3llyEmma said: BEI GANI mkuu Click to expand... Jero jero kwa gram ngapi sijui me nimeshasahau lakini shabu inapatika madukani na masokoni mkuu
3llyEmma said: BEI GANI mkuu Click to expand... Jero jero kwa gram ngapi sijui me nimeshasahau lakini shabu inapatika madukani na masokoni mkuu
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Aug 25, 2018 #24 Na bora mana mie nikinyoa vya mikono Na miguu mda mwenyewe vinaotea viupele
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Aug 25, 2018 #25 Kilangi masanja said: Naombeni maelezo ya kina nataka kua msafi kwa kuondoa mapele yote usoni baada ya kunyoa Click to expand... Jaribu ile Nivea after shave balm
Kilangi masanja said: Naombeni maelezo ya kina nataka kua msafi kwa kuondoa mapele yote usoni baada ya kunyoa Click to expand... Jaribu ile Nivea after shave balm
nowsasa JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 1,095 Reaction score 1,126 Aug 27, 2018 #26 Tumia after shave cream. Au kama hiyo ni gharama tumia alcohol kama whiskey ...paka kwenye pamba na sugua sehemu uliyo nyoa. Hata konyagi inafaa. Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia after shave cream. Au kama hiyo ni gharama tumia alcohol kama whiskey ...paka kwenye pamba na sugua sehemu uliyo nyoa. Hata konyagi inafaa. Sent using Jamii Forums mobile app