huyo binamu sio bure atakua kaaga kwao, mochwari sio sehem nzur, wengi wao huwa wana mambo yao ya ziadaHongera zake, kazi inahitaji ujasiri sana hiyo
wako wenye 14tunapiga kazi njoo uswazAnaitwa Swabrina Ghalibu huyu atakuwa ni msichana wa kwanza kabisa kufanya kazi Mortuary akiwa na Umri mdogo ana Miaka 19
Atakuwa anatunza miili ya binadamu Mortuary na kuifanyia kila Taratibu zote.....Wakati akina dada wengine waki jimwaya mwaya Instagram na Facebook huku hawana Kazi yeye atakuwa anafanya kazi hiyo ambayo itakuwa inamuingizia pesa Nzuri tuu
Ni kazi ambayo haina ushindani hivyo ukiomba ni rahisi kupata
Kwa nijuavyo mimi kazi ya huyo dogo itakuwa kukusanya miili hiyo toka mawodini,ICU,na sehemu zingine za hospital na kuipeleka Mortuary,atakuwa anaisafisha kwa kuogesha miili hiyo,kuwatolea watu miili yao wanapo kuja kuichukua!
Haya sasa Ni wakati wa kina dada wengine kujifunza
Hospital ya Tumbi Kibaha...Yupo hospital gani?
Kwa nini uhisi hivyo? Wakati mwingine si ndoto, unajikuta tu unapenda kazi flani au unataka kazi fulani. Pengine si kwa sababu ya ndoto ila maslahi. Na wengi inawatokea.Asije kuwa mchawi, na yuko pale kimkakati. Maana hiyo kazi huwezi niambia ilikuwa ndoto yake nikakuelewa.
Wanaume wa Dar bhana lol....Thanks kwa picha! Kalemboo-karemboo! Ukikatokea then kakaja kukuambia kanafanya kazi Mortuary unatoka nduki[emoji3]
Swali zuri hili, maana mh!Hivi package ya kada hii kwa mwezi huwa ni kiasi gani - kwa rate za kiserikali
Hewallah mambo si hayo huwa tunahitaji mwanzo khalafu mwisho utajulikana ukipita bint jasiri kama huyo unafarijika sio hawa wa kuogopa mende akiingia ndani kinabana pua"baby kuna bonge la mdudu ndani"Tumbi hahahahaha
Nilimaanisha kazi ya ndoto yake. Mdogo wangu dunia imeharibika mno na kuna kila aina ya watu. So uwezekano wa kuwa mchawi upo, sisemi ni mkubwa lkn upo. Hard to swallow ktk umri huo unapata ujasiri wa kufanya kazi hiyo. Wanaofanya kwa moyo, nawapongeza maana wanatuhifadhia ndugu zetu na watatuhifadhi tukibaatika kufa na miili yetu ikaonekana.Kwa nini uhisi hivyo? Wakati mwingine si ndoto, unajikuta tu unapenda kazi flani au unataka kazi fulani. Pengine si kwa sababu ya ndoto ila maslahi. Na wengi inawatokea.
Mimi nawaheshimu sana hawa Watu, wakati ndugu mnakaa mbali mkiogopa maiti yenu, yeye anamhifadhi na kumuosha.
Kuna mmoja nilimwona Sekou Toure Hospital Mwanza anaijua hasa kazi, yuko smart na hakuna harufu yeyote mbaya utakayoisikia. Kwa mara ya kwanza nilikaa mortuary kwa muda mrefu tena comfortably wakati anamuosha na kumuandaa ndugu yangu
Maana na haya majipu, ni afadhali uende huko ili ule bata kwa utulivuSwali zuri hili, maana mh!
Ooh please, will you!!Chombo khasa kimeumbika khaswa mleta uzi tufanyie ihsani tujue anatumika hospital gani hayo ya kukaa na miili wala sio tabu.
Hospitali ya Tumbi Kibaha PwaniChombo khasa kimeumbika khaswa mleta uzi tufanyie ihsani tujue anatumika hospital gani hayo ya kukaa na miili wala sio tabu.
Shukran kwa taarifa.Hospitali ya Tumbi Kibaha Pwani