Swabrina Ghalibu, Msichana wa kwanza Mdogo kufanya kazi Mortuary

Anastahili heko kwa kweli maana mimi na ujanja wangu wote hata unilipe mshahara wa bilioni moja kwa mwezi hiyo kazi siwezi kuifanya.

Heshima mbele.
Mbele kama Tai,hii kazi siwezi fanya bora niwe jobless jmn
 
Wawe wanatangaza basi hizo nafasi za kazi sio kimya kimya nina amini wapo wajasiri wengi sana zaidi ya huyo sema tu hawajafikiria kama kuna upande huo unaoogopwa na wengi.
 
Ukijaoa mwanamke kama huyu umepata mke yaonyesha ni mtu wakupambana katika mazingira yyte na hata ukiumwa huyu atakuwa na wewe
 
Kuna jamaa yupo pale huruma hosp.jamaa yupo smart sana na ana bar yake jirani na hapo mochuary.mkija ndugu wa marehemu kuchukua mwili wa ndugu yenu anawapeleka kwenye bar yake huku yeye akiendelea kumwandaa marehemu.
 
I Salute you Sabrina!! Shukrani nyingi sana kwa kuyatumia maisha yako kwa ajili ya watu wengine, dunia inawahitaji wanawake aina yako, wenye kuijua thamani ya mwanadamu!!

Kuwahudumia waliotokwa na roho sio jambo dogo, mtegemee sana Muumba katika kazi yako hii maana ulipo kaa ni Sawa na kwenye foleni ya kwenda peponi au kuzimu, majaribu ya kilimwengu (wachawi) yatakua part of your life kwa vyovyote vile husiwasikilize walimwengu ila tu aliyekuumba!!

**Prayers all the way n' a lil' bit of weed will pull you through the day, safi sana Sabrina.
 
Hands that pray are holier than lips that pray
 
Anastahili heko kwa kweli maana mimi na ujanja wangu wote hata unilipe mshahara wa bilioni moja kwa mwezi hiyo kazi siwezi kuifanya.

Heshima mbele.
This shows how far the motherland has gone down,hakuna kazi and people are left with no choice-huyu binti ni mdogo sana to go that path
 
Ana moyo huyu Mdada , maiti anavyotisha wewe ukamuogeshe mm sidhani Kama kweli...
 
Asije kuwa mchawi, na yuko pale kimkakati. Maana hiyo kazi huwezi niambia ilikuwa ndoto yake nikakuelewa.
Kuna true TRUE STORY moja nimeipata kutoka Kenya...Mwanamama mmoja amekuwa anaondoka nyumbani usiku, mara moja kila wiki....mume alipofanya utafiti akagundua Mkewe huenda Mortuary..

Jamaa alikimbilia kwa Mchungaji kuomba msaada...Mchungaji akambana yule Mwanamama.....Mwanamama hatimaye akakiri na kusema ndio masharti aliyopewa ya kulala na Maiti....na ameshapatana na Watunza Motuary, na ndio maisha anayoishi.

Mume na Mchungaji wakamsihi aache...akasema kama ni mume aondoke tu yeye anataka pesa, kwamba ameishi sana kwenye umasikini na hayupo tayari kurudi huko.

Ki ukweli Mama ni tajiri, na Mzee hakuwa na mchango pale ndani.....ndio nilisema tuone tu watu wapo kwenye hayo Ma Range rovers yao.
 
Nimekosa cha kusema.

Imebidi nimuangalie mara mbilimbili.
 

Mhhh!. Mshana Jr. Nakuomba ufike hapa.

Kwa kumtazama huyu binti, yuko sawa? Anaweza kufanya hiyo kazi akiwa katika hali ya kike sawasawa kwa kuzingatia yale unayoyasemaga?
 
Hata Mimi nilisikia wakampigia Yule cm from redio station akasema ndio Na siwachii ataka akae Na Kama Mume hataki aondokee ..kuna watu wana roho za jiwe sanaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…