Dhambi ni dhambi tu hakuna kudharau dhambi, ila moja kati ya dhambi mbaya ni ile unafanya dhambi na unakuja kuhadithia watu juu ya dhambi zako unazofanyaga kwa siri, hii dhambi ni ngumu sana kusameheka mbele ya Mungu. Ukiteleza na ukafanya dhambi jitahidi sana iwe siri yako tu na ulete toba mbele ya Mungu huenda akakusamehe maana makosa kwa mwanadam ni kawaida