Swaga za kwenda kununua kondomu

Swaga za kwenda kununua kondomu

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
767
Reaction score
1,083
Habari wanajamvi!

Kondomu si bidhaa ngeni kwa mwanaume mchezaji wa game za 6 kwa 6 anaejali afya yake.

Sasa linapokuja suala la kwenda kununua ni mambo gani huyazingatia?

Mimi yangu ni yafuatayo;
  • Siwezi kuwa huru kununua ikiwa dukani Kuna mhudumu zaidi ya mmoja.
  • Sinunui sehem ninayofahamika.
  • Nikosa kurudi na bidhaa nyumbani😂🤣.

Nawe ongeza zako hapo chini🔥🔥
 
Dhambi ni dhambi tu hakuna kudharau dhambi, ila moja kati ya dhambi mbaya ni ile unafanya dhambi na unakuja kuhadithia watu juu ya dhambi zako unazofanyaga kwa siri, hii dhambi ni ngumu sana kusameheka mbele ya Mungu. Ukiteleza na ukafanya dhambi jitahidi sana iwe siri yako tu na ulete toba mbele ya Mungu huenda akakusamehe maana makosa kwa mwanadam ni kawaida
 
Back
Top Bottom