Mkuu hengo, hili ni jukwaa la utani na udaku sehemu ya kupunguzia stress za kule kwenye siasa na za maisha. Usichukulie kila kinachowekwa humu ni kweli kimetokea, labda kama hujui maana ya utani.Hapana boss mm si afande wala sijakasilika,ila nashindwa kuelewa mazingira yaliyokuwezesha kusikia maneno yote hayo wanavyotongoza jamaa zetu
Du! inawezekana ngoja nifanye utafiti.lazima atakua mwanamke,wanawake wanapenda vitu vya ajabu adi unashangaa:A S angel:
Dah... Lazma upate kibuti hapo