wabeba mabox wako vakesheni tz
wamekuja kuangalia foleni za dar
wabeba mabox wako vakesheni tz
wamekuja kuangalia foleni za dar
Una swagga za kutosha....wabeba box wameamua kuuza nyago mlimani! Lol. Wacha kina senetor warushwe roho.
Una swagga za kutosha....
We Kongosho wacha maneno yako, unafikiri kila aliyeko Ulaya/USA ni mbeba Mabox! Ka! watu tunakazi zetu huku kaka, siyo lazima wote tuwe Dar.
wabeba box wameamua kuuza nyago mlimani! Lol. Wacha kina senetor warushwe roho.
afu wanapga vizinga hao!
Una swagga za kutosha....
you....here....now......?Una swagga za kutosha....
Dah! Niliishasahau aisee...wasolid hatunaga swagga.
Dah! Niliishasahau aisee...
sura za kitambaa zinakuangusha wanakuchukulia pimbi!Kila mdada ninae kutana nae maeneo ya mlimani city anajifanya ana swagga za kimarekani,swagga zenyewe zko kwenye ki-inglishi,yan ukimsemesha tu utackia anakumwagia slang za kufa mtu as if tuko kule brooklyn-new york...cha ajabu ukimtupia maneno kumi mfululzo ya english anarudi mwenyewe kwenye kiswahli,sa najiulza wengi wao pale huwaga wanaenda kununua vitu au wanakua wako mawindon?