mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Mwanamuziki Young D akipafom na mwonekano wake wa hatareeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaharibikia na nywele zakee,na hiyo miwanii sijui nani hua anawadanganya kua mnapendezaaa!!!
Wengine wakivaa wanakua kama wachomelea mageti
Hiyo miwani ni Shaba Ranks old school shit
Kaka kwenye game kwa mda mrefu kiasi
Basi kila nikiiona ile nyimbo ya jaguar nacheka ulivyoniambia kua nyimbo zile zile, biti ile ile aisee jamaa angeacha tu mzikii
Hakuna aliyeniboa kama jaguar ubunifu ziro ,halafu huko kwao ndo yupo peak.Ule wimbo wa kigeugeu biti ikianza utasikia "eeh eeh kigeugeu,nyimbo zilizofuata same beat anapoanza utasikia "eeeh eeh",yaani kama remix tu.
Halaf kwanini wakenya miziki yao sijui ipojee,ni michache sana mizuri,bora Uganda wanaimba vizurii wakenya sijawaelewa ngoma zao chache nzuri
Miziki yao haieleweki labda promo tu na tunakoelekea wasanii wa kibongo wanaweza kusikika kimataifa zaidi kuliko wakenya kwenye mziki,zamani nilikuwa napenda nyimbo za nameless,ukisikikiza nyimbo zao sijui utawaweka kundi gani,si r&b,si hip hop.Wanasema ni genge sasa sielewi genge hip hop?je na wale majamaa boda boda,jaguar,tuwaweke kundi gani!
Waganda wanajua haswa nyimbo za hata kama za kilugha unafeel mziki
Siujui ila ukigoogle utaupataa tu
Siujui ila ukigoogle utaupataa tu
Hahahaha
Ngoja nicheki ila wana album mpya,huwa nawakubali sana