Swagga za Young D ni hatareee

Swagga za Young D ni hatareee

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Mwanamuziki Young D akipafom na mwonekano wake wa hatareeee

10659224_1469760636644730_7156448669530335964_n.jpg
 
Kaharibikia na nywele zakee,na hiyo miwanii sijui nani hua anawadanganya kua mnapendezaaa!!!
Wengine wakivaa wanakua kama wachomelea mageti
 
Hiyo miwani ni Shaba Ranks old school shit
 
Kaka kwenye game kwa mda mrefu kiasi
 
Basi kila nikiiona ile nyimbo ya jaguar nacheka ulivyoniambia kua nyimbo zile zile, biti ile ile aisee jamaa angeacha tu mzikii

Hakuna aliyeniboa kama jaguar ubunifu ziro ,halafu huko kwao ndo yupo peak.Ule wimbo wa kigeugeu biti ikianza utasikia "eeh eeh kigeugeu,nyimbo zilizofuata same beat anapoanza utasikia "eeeh eeh",yaani kama remix tu.
 
Halaf kwanini wakenya miziki yao sijui ipojee,ni michache sana mizuri,bora Uganda wanaimba vizurii wakenya sijawaelewa ngoma zao chache nzuri
 
Miziki yao haieleweki labda promo tu na tunakoelekea wasanii wa kibongo wanaweza kusikika kimataifa zaidi kuliko wakenya kwenye mziki,zamani nilikuwa napenda nyimbo za nameless,ukisikikiza nyimbo zao sijui utawaweka kundi gani,si r&b,si hip hop.Wanasema ni genge sasa sielewi genge hip hop?je na wale majamaa boda boda,jaguar,tuwaweke kundi gani!

Waganda wanajua haswa nyimbo za hata kama za kilugha unafeel mziki
 
Ehee Nameless na yule mkewe,na kuna jamaa hivi nimemsahau ndio huimba poa,hao wengine sasaaaa afadhali hata DNA
Na prezo na wyre sijui nimepatia hilo jina na yule dada rasi dada yake jafarai
 
Viol halaf ile nyimbo mpya ya p square inachezwa sana Trace nooma sanaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom