Swagga za Young D ni hatareee

Kati ya madogo nisiowaelewa wanachofanya, huyu chalii ni namba moja.......
 
Hahahaaa,

Au Dwayne Wayne kutoka "A Different World"

Halafu tumbo nje bila six pack kama Rick Ross.

Lazima uchoke.

Afadhali huyu kifua kwanza bado mdogo,hivi Rick Ross hua anafikiria nini kuacha kifua wazi na nyonyo kubwa vile na tumbo ananiudhijee ,huko marekani si anaweza jibadilisha akawa na kifua kizuri tu kama kina Trey song
Mwanaume sura ukose, na kifua ukose khaa!!
 
huyu dogo nyimbo kali kutoka kwake labda ni ile ya kwenye tangazo la planet bongo
 
Mie hii miss Tanzania ya leo inaniboa
 
Halaf kwanini wakenya miziki yao sijui ipojee,ni michache sana mizuri,bora Uganda wanaimba vizurii wakenya sijawaelewa ngoma zao chache nzuri

Wakenya si mashairi.wao ni ile tu beat inabamba.ndo maana huwez muweka nonini na prof jay au mwanafa wakaimba pamoja.yaaan wao wanaimba pumba sana adi kuna mda unaona aibu kusikiliza
 
Hahahaaa,

Au Dwayne Wayne kutoka "A Different World"

Halafu tumbo nje bila six pack kama Rick Ross.

Lazima uchoke.

My favorite 80s sitcom. I even had a childhood crush on Whitley.
 

You are a great thinker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…