Swagga za Young D ni hatareee

Swagga za Young D ni hatareee

Kaharibikia na nywele zakee,na hiyo miwanii sijui nani hua anawadanganya kua mnapendezaaa!!!
Wengine wakivaa wanakua kama wachomelea mageti

Ha ha hapo pa kuchomelea mageti ni shiiida mtu ana vaa tinted ucku kwani kuna jua ushamba unawasumbua
 
Ha ha hapo pa kuchomelea mageti ni shiiida mtu ana vaa tinted ucku kwani kuna jua ushamba unawasumbua

Mmh yaan wengine hawapendezagi kabisa miwanii hua nacheka kweliii
Kuna inayowapendeza balaaa kama mr.blue,C pwaa, wolper sasa kuna wengine wakivaa miwani inakaa tenge
 
Kaharibikia na nywele zakee,na hiyo miwanii sijui nani hua anawadanganya kua mnapendezaaa!!!
Wengine wakivaa wanakua kama wachomelea mageti

Duuuuuu cc wachomelea mageti tumetoka wapiii HP ss jmn km c kutuonea
 
I like music, that's it! Mtu atembee uchi barabarani au awe chapombe firauni, shauri yake, I really don't care! Is up to him/her na familia yake! All I need, akimaliza kuteembea uchi barabarani, arudi studio na kutoa pini kali; maisha yanaendelea! I like the kid, Young D anajua... kila pini anayotoa imesimama; what else?! It's enough for me... hayo mengine ni yake, hayanihusu na hayatakaa yaje kunihusu!
 
Back
Top Bottom