Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 412
Mkuu hivi vitu vigumu sana.....! Hiyo miaka ni mathematics tu sio biological bana! Sie tunalazimisha vitu tu ilimradi. Basi ingelikuwa hakuna msichana/mvulana kubalehe mpaka afikishe miaka hiyo, lakini mambo sio hivyo.Asante lakini binti ni under 18yrs na huyo bazazi mzee ni above 55 anakimbilia 60yrs sasa hapa hiyo haki ya mapenzi kwa under 18 ipo kweli hapo?? Ikiwa huyo bazazi anawatoto 4 wa mwisho anamiaka 24 kwa huyo binti amabye ni chini ya miaka 18 hapo pana mapenzi ya kweli??