Wewe unaependa Stationery za bei rahisi,ogopa sana kitu inajiita SWAHIBA Stationery!
Wafanyakazi wake hadi Bosi wao wote MATAPELI.Tafadhali,fuatilia maelezo yafuatayo ufumbuke macho.
Nilienda kupata huduma ya kujaza Wino wa Printer,nikatoa SH.18,000/- kwa ajili ya Wino wa Rangi na Mweusi.
Hajabu baada ya kuprint kurasa 10 wino ukaisha!
Hazikuwa 'COLOURED' ajabu hata wino wa Rangi pia umeisha.
Niliamua kuwafuata nikawaeleza tatizo langu,lakini walitoa majibu yanayotia hasira Mf.Kesho tutaleta wino,niliwafuata zaidi ya mara 3 bila mafanikio!
Kilichonisukuma hadi kuamua kuwaanika sio utapeli wa wino bali nilichokishuhudi kwa macho yangu:
UVUJISHAJI WA MITIHANI
Baadhi ya walimu wanapenda kuchapa mitihani yao pale kwasababu ya unafuu wa bei.
Ajabu Baadhi ya wanafunzi wanaurafiki na baadhi ya wafanyakazi wa SWAHIBA. Kinachofanyika ni hao wanafunzi kwenda na 'Flash Disks' na kuchukua MITIHANI ikiwa katika Softcopy! Mitihani hii niliyoishuhudia mingi inaonekana ni ya ndani (Internala Examinations)
Nimeshuhudia pia wanafunzi wawili wenye sare za shule inaitwa GOSPEL CAMPAIGN wakipata huduma ya kupewa MITIHANI ambayo katika maongezi yao ilibainika HAWAJAIFANYA Mwalimu wao aliwatangazia Siku ya Mtihani,
Yupo Mfanyakazi mmoja jina simfahamu ila ni Mweupe Mfupi mwili mkubwa akiwa anawaambia wanafunzi wale kuwa hiyo paper aliyowapa ni ya ukweli kwani huyo mwalimu pale ndio kituo chake cha kuandaa/kuchapa mtihani!
USHAURI
Kiukweli hawa SWAHIBA STATIONERY sio waaminifu kwa 97% .Jaribu kuwaomba wakutolee COPY zaidi ya kurasa 10 utaona balaa la wino wake.
Wako wapi? Nenda NJIA PANDA ya Segerea Ukitokea Tazara/Au panda magari ya G'mboto ukitokea mjini au Ubungo baada ya Air port ni junction ya Segerea,nasikia wanazo ofisi zingine Ukonga Mombasa.
Tafadhali SWAHIBA STATINERY fanyeni kazi kwa weledi UTAPELI sio mzuri. Nawasilisha