Swahiba wa Putin, Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko alazwa baada ya kuumwa ghafla

Swahiba wa Putin, Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko alazwa baada ya kuumwa ghafla

Putin kwa sasa time is running out anawindwa ndani ya Russia na magenerali waliochoka vita waliozoea kula bata ulaya na marekani na familia zao kuwa kawavurugia starehe zao wanamuwinda kumuua watangaze kuwa jeshi limechukua hatamu muda sio mrefu sana Putin atauaawa na jeshi la Russia mark my words.
Ukisikia Putin kafa anytime from now hata Wasingizie kafa kwa ugonjwa uongo majenerali waliochoka vita wa Urusi wamemuua

I repeat again mark my words
 
Belarus dictator Alexander Lukashenko has been taken seriously ill for the second time this month in Moscow, reports say.

The 68-year-old was said to have been hospitalised in a 'critical' condition after collapsing during a trip to meet close ally Vladimir Putin.



My take:

Putin hamuanini Raisi wa Belarus Ruksshenko taarifa zinasema walinzi wa Putin walimuwekea Sumu Rukashenko baada ya Putin kuambiwa Rukashenko ana mawasiliano ya siri na mahasimu wa Putin ndani ya Russia wakiongozwa na mkuu wa Jeshi wa sasa anayetaka kumpindua Putin sababu kachoka vita na alishawahi mwambia Putin kuwa na yeye ni mzazi kama wazazi wa watoto kibao wanaoendelea kufa Ukraine kwa vita ambayo ngumu kuiielezea kwa wazazi wao kuwa wamefia jeshini kwa vita ya kitu gani hasa Ukraine ? Wazazi wanejuwq wagumu kuekewa .

Putin na mkuu wake wa majeshi hawaivi na akipojua kuwa Rukashenko naye yyuko.karibu na mkuu wa majeshi akamwambia wampe sumu

Siku yeyote na Saa yeyote bendera ya Belarus mtu ukisikia inapepea nusu mlingoti na wimbo wa Taifa la Belarus ukiimbwa mfulululizo Tv na Redioni.mtu usishtuke

Au muda wowote mtu ukisikia Belarus wimbo wa Kikiristo wa parapanda Italia parapanda au wa kiislamu wa
La ilaha illa Allah Muhammad Rasool Allah jua Rukashenko kesha kata moto umebaki mwili mortuary
Kwa kuzingatia busara za kiutu-uzima, hayo huwa yapo lakini watu wanakaa kimya kusubiri khatma; hayazungumzwi wazi. Samahani lakini broo.
 
Mchezo gani.kua nyie ndio mmempa ugonjwa..ficha ujinga wako kila cku unazid kujishushia heshima

Mumtaarifu na nguchiro popote alipojificha na yeye yatamkuta, huyu tumeshamaliza kazi yake.
 
🤣🤣🤣 Kweli pro NATO mmepigika sana. Yahani mtu kuumwa mmeshaona bonge la news na kukimbilia kifungua tread. Binadamu kuumwa ni jambo la kawaida sasa hapo ajabu ni nini??

Huyu tumemaliza yake, sasa nguchiro wenu alikojificha na huko tutamkuta, naona tangu drones zimpe salamu pale ikulu amekua makini sana.
 
Back
Top Bottom