Swahiba wa Putin, Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko alazwa baada ya kuumwa ghafla

Putin kwa sasa time is running out anawindwa ndani ya Russia na magenerali waliochoka vita waliozoea kula bata ulaya na marekani na familia zao kuwa kawavurugia starehe zao wanamuwinda kumuua watangaze kuwa jeshi limechukua hatamu muda sio mrefu sana Putin atauaawa na jeshi la Russia mark my words.
Ukisikia Putin kafa anytime from now hata Wasingizie kafa kwa ugonjwa uongo majenerali waliochoka vita wa Urusi wamemuua

I repeat again mark my words
 
Kwa kuzingatia busara za kiutu-uzima, hayo huwa yapo lakini watu wanakaa kimya kusubiri khatma; hayazungumzwi wazi. Samahani lakini broo.
 
Mchezo gani.kua nyie ndio mmempa ugonjwa..ficha ujinga wako kila cku unazid kujishushia heshima

Mumtaarifu na nguchiro popote alipojificha na yeye yatamkuta, huyu tumeshamaliza kazi yake.
 
🤣🤣🤣 Kweli pro NATO mmepigika sana. Yahani mtu kuumwa mmeshaona bonge la news na kukimbilia kifungua tread. Binadamu kuumwa ni jambo la kawaida sasa hapo ajabu ni nini??

Huyu tumemaliza yake, sasa nguchiro wenu alikojificha na huko tutamkuta, naona tangu drones zimpe salamu pale ikulu amekua makini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…