Swahili gospel YouTube views

29 Sep 2018
Wimbo wa kuwafariji wote ktk ajali ya MV.NYERERE / Nitasubiri by Zabron Singers

Ni wimbo wa faraja kwa ndugu zetu walio ondokewa na wapendwa wao katika ajali ya MV.NYERERE ktk ziwa Victoria nchini Tanzania.
Source: zabron singers
 
"We" ukimaanisha wewe na nani?

Hapa bongo gospel siyo popular sana japo kuna few individuals wanaofanya vizuri, sababu Muslim ndio majority ya population tupo zaidi ya 60%
Acha uongo nyinyi mpo 30% ya population hivi ukiondoa tanga pwani, zanzibar ni mkoa upi ambao waislam ni wengi? Huu mkoa niliopo tu kuna radio stations zaidi ya 8 za kikristo wakati station ya Muslim ipo moja tu alafu unasema gospel haina wasikilizaji wengi? Ukitoa bongo flavor mziki unaofuata ni gospel hata msanii hata mmoja wa nyimbo za kiislam simjui
 
Sipingi hilo they receive a lot of air play.secular only but when it comes to gospel there is equity hakuna kupendelea upande mmoja. Tz music hits because of Kenya. No Kenya no success in bongo music
Kivipi? Kwani nyie ndio mnawatoa underground?
 
Goodluck Gosbert
Angel Benard
Poul Clemens
Joel Waga
Jesca Honore
Oscar Chilambo

Hawa ni baadhi ya gospel artists wanafanya tour mpaka Marekani kwa sasa
 
Si mpaka choir zinaruhusiwa humu,au waimbaji binafsi tu.
 

Only mercy masika right!!!!???

Haya twende battle ya wasanii waliovusha nyimbo 2ml views kati ya bongo na hapo kenya.ujione ulivyo hujui.
 
List ya waimbaji 10 kutoka tz wenye views 2ml+ youtube.

1-christina shusho-nang'ara.
2-bahati bukuku-umewazidi wote
3-anjel benard-nikumbushe
4-goodluck gosbert-hauwezi kushindana
5-william yilima-uko wapi?
6-joel lwaga-yote mema
7-diana salakikya-kijito
8-christopher mwahangira-Mungu ni Mungu tu.
9-edson mwasambite-ni kwa neema tu.
10-paul clement-amenifanyia aman.
 
"We" ukimaanisha wewe na nani?

Hapa bongo gospel siyo popular sana japo kuna few individuals wanaofanya vizuri, sababu Muslim ndio majority ya population tupo zaidi ya 60%
60%? source?
 
list of Kenyan Gospel videos with 2M+(singles)
Mwema by Mercy Masika -9.4M
Nani kama wewe by Eunice Njeri-7.2M
Kibali by Florence Andenyi-6.1M
Nikupendeze by Mercy Masika-5M+

Narudisha by Gloria muliro
Ndio yako by Gloria muliro
Unatosha by Eunice Njeri
Ameni by Eunice Njeri
Shule yako by Mercy Masika
Mungu mkuu by Everlyn Wanjiru
e.t.c
 
Shusho nd,dawa yenu.hayup wa kumzid huy Africa
Nipe wimbo mmoja wake ambao umefikisha 6M views kwa YouTube.
Ninang'ara una 5.7M views.
Unamaanisha nini unaposema hayupo wa kumzidi afrika?
Unawafahamu wanamuziki wa Nigeria wewe? Sinach Joseph
Ada
Jimmy the psalmist na wengineo?
 
Nipe wimbo mmoja wake ambao umefikisha 6M views kwa YouTube.
Ninang'ara una 5.7M views.
Unamaanisha nini unaposema hayupo wa kumzidi afrika?
Unawafahamu wanamuziki wa Nigeria wewe? Sinach Joseph
Ada
Jimmy the psalmist na wengineo?
Views Wang,si kwamb unajua kuimba.otile nyimb Zak nying,hajafiki 1M+ viewers ,lkn anajua.
Kina Bahati Bukuku.sema nyimb zet,za gospel tumekosa airbaz kubw EAC
 

Fanya msanii mmoja na nyimbo moja itapendeza zaidi,maana hata kwetu ningefanya hivyo wangejirudia mara nne nne.
 
Wakenya kwa kelele hawajambo.
Huoni sisi mpaka tunawaimbia nyimbo za Amani kwa nchi yenu
 
umenena vyema, hawa jirani zetu tangu ticha JK awafinyie ndani Mlima wao hawajawahi kutusamehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kila kitu wanataka kushindana tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…