Swahili in ms windows applications

Swahili in ms windows applications

ELNIN0

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Posts
4,161
Reaction score
1,476
Plans are already at an advanced stage for the Swahili language to be incorporated in MS Applications. Let's take a sneak peek at developments so far: It's the high time you buy a kamusi as things might not get easy as you can see below.

:

1. Mtambo wako unakimbia nje ya kumbukumbu dhanifu - (Your system is running low on Virtual Memory)

2. Mtambo wako umefanya mpango kabambe usiokuwa halali na sasa utafungwa - (The application has performed an illegal operation and the application will be shut)

3. Madirisha Elfu Mbili na tatu Tandabui isiyo ya bui Mtumishi (Windows 2003 Web Server)

4. Madirisha Elfu Mbili Mtumishi (Windows 2000 Server)

5. Madirisha Elfu Mbili Mtaalamu (Windows 2000 Professional)

6. Jedwali Changamfu (Active Directory)

7. MS Mtazamo (MS Outlook)

8. Mtazamo Ulioharakishwa (Outlook Express)

9. Punguza namba ya Tumizi zilizowazi (Reduce the number of open applications)

ICT guys let us add others!!

Nafikiri itakuwa safi,ila hapo kwenye madirisha na milango sijui umeniacha hoi.Mambo jedwali changamfu,si mchezo mzee.
 
It’s the high time you buy a kamusi as things might not get easy as you can see below.

Kamusi hii hutapata mahali popote! Yaani mambo haya yanabadilika haraka na mkasi wa kutunga kamusi Ubongo . . .

Ila tu: sijui una habari kama wamshaunganisha orodha ya maneno kati ya LINUX na WINDOWS? Maana chuo kikuu cha Dar imejiunga na na mradi wa KINILUX na MS walifanya mambo yao - orosha hizi zinatofautiana mara nyingi . . .
 
mkenya katafsiri hapo sielewi kitu...tunaomba itafsiriwe na udsm pale kwenye department ya lugha...isiende kwenye swahili ilipogonjwa kabla ya kwenda kukufia kukongoni..
 
mkenya katafsiri hapo sielewi kitu...tunaomba itafsiriwe na udsm pale kwenye department ya lugha...isiende kwenye swahili ilipogonjwa kabla ya kwenda kukufia kukongoni..

UDSM wameshafanya kazi . orodha ya LINUX kwa Kiswahili. Unaamini kweli ya kwamba utaielewa ?
Nakupa maneno kadhaa kati ya MS na LINUX kwa Kiswahili:

Sema: unapendelea kubofya panya au puku?
Je unatazama skrini, mulishi au kiwambo?
Unaandika kwa baobonye au kichapio au kicharizo?
Untumia skana au kitambazo?
Nitakuambia baadaye ipi ni ipi!
 
Si mchezo babaake,hii imetulia.Yaani unaandika kwa baobonye,kichapio au kicharizo.Bila hapa tuition mambo hayaendi.
 
Inaweza kuwa ngumu kuliko kingeraza mhh!

Mwanzao Mgumu - Umeelewa Kipara alivyosema maana ya BAOBONYE? --- Yaani Keyboard. Kazi tunayo lugha yetu ila itatutoa jasho.
 
UDSM wameshafanya kazi . orodha ya LINUX kwa Kiswahili. Unaamini kweli ya kwamba utaielewa ?
Nakupa maneno kadhaa kati ya MS na LINUX kwa Kiswahili:

Sema: unapendelea kubofya panya au puku?

Je unatazama skrini, mulishi au kiwambo?
Unaandika kwa baobonye au kichapio au kicharizo?
Untumia skana au kitambazo?
Nitakuambia baadaye ipi ni ipi!

Basi nitoe suluhisho
Kiingereza * KILINUX * Microsoft ("kadogokalaini")
mouse * puku * panya
screen * skrini * mulishi au kiwambo
keyboard * baobonye * kichapio au kicharizo
scanner * skana * kitambazo

Hii mifano michache tu. Miaka 5 iliyopita hivi nilipakua (=download) orodha za KILINUX (=Kiswahili Linux) iliyoandaliwa na USDM na pia orodha ya Kadogokalaini (microsofti) sijui kama zimebadilshwa tangu wakati ule lakini naona maneno 700 katika orodha ya Kilinux na 2800 katika orodha ya MS. Natumia zote mbili kwa kazi ya kutunga makala za wikipedia.
 
Back
Top Bottom