Swahili translator

Swahili translator

Aunty Lao

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2008
Posts
214
Reaction score
20
Hello Shy,

Nimeshauriwa na members kuwasiliana nawe ndugu au pia kama kuna yoyote anayefahamu, shida yangu ilikuwa nahitaji kama itapatika hio kupata translator ambayo itanisaidia kutafsiri lugha nyingine kwenda kiswahili. Asante sana kwa msaada wako.
 
Kama kuna mtu anataka kusaidia kuendeleza Kiswahili na kutengeneza hela hii idea ya web based dictionary italipa sana, traffic itakuwa ya nguvu.

Unachohitaji ni a dynamic database driven website, plenty of muscle and the usual mix of web hosting/design and all that good stuff. Watu wote wanaotaka kuja Africa Mashariki pamoja na watu wengine wenye nia ya kujifunza kiswahili tu wataijua.Tena unaweza kutumia maneno ya dictionary pamoja na kuintroduce maneno mapya ya mtaani (denoting that of course)

Brilliant idea, tons of money, relatively small investment with possible crazy returns.

Halafu kila siku watu wanalalamika pesa ngumu.

Hawa watu wa kamusi project wanacheza tu, kazi kuihamisha site kila siku it is practically orphaned.Halafu iko designed kama site ya intranet instead of internet (firepower wise).
 
Last edited:
Back
Top Bottom