Swala anayetambulishwa Wasafi ni nani hasa?

Swala anayetambulishwa Wasafi ni nani hasa?

coach willy

Member
Joined
Jul 14, 2023
Posts
22
Reaction score
64
Huyu bwana Swala wa Wasafi anaetambulishwa leo ni nani?

Screenshot 2023-07-26 091950.png
 
Huyu bwana Swala wa Wasafi anaetambulishwa leo ni nani?

Mwisho wa siku kuna mjinga ataibuka na kusema Diamond Platnumz ni mburula.

Sasa broo, wee tafuta hints za kucheza na akili za watu, imagine jamaa akitaka hata kutangaza mtangazaji wa WASAFI FM lazima avute attention ya watu kwanza.

Mara nyingi uzinduzi kama huu husindikizwa na EVENT.

Tukasake pesa!
 
Back
Top Bottom