Kwani miongozo ya katiba inasemaje?Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na watanzania wengi kwamba haukuwa wa haki na kupelekea zaidi ya 99% ya wabunge wa ccm kuteuliwa na katika mwendelezo huo huo wakapatikana wabunge 19 wa covid-19. Hivyo sioni mantiki yoyote ya chadema kukomaa na hawa 19 na kuwaacha wale 99% ambao nao waliingia kimizengwe. Ningeshauri wapiganie zaidi kupata mfumo ambao utaweka mazingira yatakayopelekea uchaguzi huru na wa haki ambao utaafikiwa na vyama vyote na wadau wengine wa uchaguzi...
Na ninyi muache wivu wa kuwakumbatia ilihali walishafukuzwaJamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na watanzania wengi kwamba haukuwa wa haki na kupelekea zaidi ya 99% ya wabunge wa ccm kuteuliwa na katika mwendelezo huo huo wakapatikana wabunge 19 wa covid-19. Hivyo sioni mantiki yoyote ya chadema kukomaa na hawa 19 na kuwaacha wale 99% ambao nao waliingia kimizengwe. Ningeshauri wapiganie zaidi kupata mfumo ambao utaweka mazingira yatakayopelekea uchaguzi huru na wa haki ambao utaafikiwa na vyama vyote na wadau wengine wa uchaguzi...
Polee mkuuJamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na watanzania wengi kwamba haukuwa wa haki na kupelekea zaidi ya 99% ya wabunge wa ccm kuteuliwa na katika mwendelezo huo huo wakapatikana wabunge 19 wa covid-19. Hivyo sioni mantiki yoyote ya chadema kukomaa na hawa 19 na kuwaacha wale 99% ambao nao waliingia kimizengwe. Ningeshauri wapiganie zaidi kupata mfumo ambao utaweka mazingira yatakayopelekea uchaguzi huru na wa haki ambao utaafikiwa na vyama vyote na wadau wengine wa uchaguzi...
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na watanzania wengi kwamba haukuwa wa haki na kupelekea zaidi ya 99% ya wabunge wa ccm kuteuliwa na katika mwendelezo huo huo wakapatikana wabunge 19 wa covid-19. Hivyo sioni mantiki yoyote ya chadema kukomaa na hawa 19 na kuwaacha wale 99% ambao nao waliingia kimizengwe. Ningeshauri wapiganie zaidi kupata mfumo ambao utaweka mazingira yatakayopelekea uchaguzi huru na wa haki ambao utaafikiwa na vyama vyote na wadau wengine wa uchaguzi...
Sasa mkuu vipi wale wengine wa fisiemu walioingia kimagumashi kwa uchafuzi mkuu wa 2020, wao hawatumii pesa za walipakodi....nililenga kutaka hili swala liangaliwe kwa mlengo mpana zaidi. Tuseme umewaondoa hao 19, what next? hao wengine wa kuteuliwa na fisiemu waendelee kufaidi keki ya taifa huku sisi chadema tukisheherekea kuondolewa covid-19, seriously!?Matumizi mabaya ya kodi zetu, ukizingatia posho ya siku 1 tu kwa covid mmoja ni mshahara wa mtu hiyo ni posho tu, bado mengine.....waondoke bungeni "wakajiajiri"
Mods, angalieni kuna mataahira kibao wameshavamia jukwaa..."Tuliza matako yako weweee,tuliza matakooo,tuliza matakooo, nakuambia weweee, weee mbona unataka kujifanya unajua?."
Kasesela, Mkuu Wa Wilaya Iringa.
This is so petty ukilinganisha na zile 1.5t, hata na zile 980b pale maliasili...
Katiba inasema viongozi wote wapatikane kwa uchaguzi ambao ni huru na haki....Kwani miongozo ya katiba inasemaje?
Mods, angalieni kuna mataahira kibao wameshavamia jukwaa...
Wewe ni yupi kati ya hao 19?Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na watanzania wengi kwamba haukuwa wa haki na kupelekea zaidi ya 99% ya wabunge wa ccm kuteuliwa na katika mwendelezo huo huo wakapatikana wabunge 19 wa covid-19. Hivyo sioni mantiki yoyote ya chadema kukomaa na hawa 19 na kuwaacha wale 99% ambao nao waliingia kimizengwe. Ningeshauri wapiganie zaidi kupata mfumo ambao utaweka mazingira yatakayopelekea uchaguzi huru na wa haki ambao utaafikiwa na vyama vyote na wadau wengine wa uchaguzi...
Si miongoni mwao, jikite kwenye mada..Wewe ni yupi kati ya hao 19?