William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Ubaya Tff wametupa taarifa nusu nusu na sizani Kama Ni sawa.
Mbona CAF wao hutoa maamuzi yote hadharani
Kama wanasheria nguli tunategemea kuuona msingi wa maamuzi wa Tff ili tuchukue hatua staili. Tunaona kabisa hawana mpango wa kuuweka uamuzi wazi ili wakongwe wa Sheria waupitie wajue wapi Fei alikosea.
Na Kama alikosea Tff ilitakiwa imuadhibu Feitoto Kama kiulipa Yanga gharama za usumbufu wa kuendesha kesi na kuwalipa wao gharama za kesi bila kujali Yanga waliomba Nini kwani Ni dhaili wameingia gharama kushugulikia Hilo.
Lkn wamefanya maamuzi ili kumtisha siku hizi tatu ili aombe msamaha na aogope.
Nasisitiza nasubiri uamuzi kamili. Ili tuone.