Swala la Feitoto Bado Kuna Giza Nene. Kipi kipo nyuma ya TFF mpaka msingi wa maamuzi kubaki gizani?

Swala la Feitoto Bado Kuna Giza Nene. Kipi kipo nyuma ya TFF mpaka msingi wa maamuzi kubaki gizani?

Feisal ata aende FIFA hawezi kushinda kesi yake dhidi ya Yanga! Feisali alifanya mambo kwa kukurupuka tu (Emotional) Sio kwa kufuata utaratibu.

Akae ajue kuwa kipengere alichokitumia kwenye mkataba wake wanacho wachezaji wote duniani wenye mikataba na team zao lakini haifanyiki kihuni kama yeye alivyofanya.
Kinatakiwa kifanyike namna gani?
 
Ngoja wataalamu wa kufukua makaburi waiweke halafu uone utakavyokuwa mdogo kama pirton. Ipo humu jukwaani kitambo tu.
Wakishaweka na mimi nitakuwekea kauli ya Lucy pia na wewe utakuwa mdogoo kama mbegu ya ufuta.
 
Wachezaji wanaotoka nje ya Tanzania wana akili sana. Tulikuwa tunachukua ukimya wa Onyango na kudhani ni mjinga. Ona alichofanya Simba kushinikiza aidha auzwe, akatishe mkataba au apangwe kama mkataba unavyosema. Simba wakaopt kumpanga na mgogoro ukaisha. Leo Mtanzania anayejiita mjanja anatoka nyumbani anatangaza ameshaacha kazi kwa kutokwenda kazini. Akishitakiwa kwà utoro kazini anapata watetezi eti si hataki kazi yao wamuache? Taasisi gani Mtu unachukua mshahara wa mwezi unakwenda kulipa bila kumjulisha mwajiri?
Tulitaka ufafanuzi wa kisheria kutoka Tff. Sio hisia binafsi. Wapi Feitoto alikiuka mkataba?
 
Mikia wote mbumbumbu badala ya kuja mezani na kuchana wallet 1B thamani ya Feikubwa alieota mapembe eti wanaleta uhuni wa kulipa ada ya usajili!

Makombe ya Yanga , kuongoza ligi na unbeaten record vinawauma sana Makolo fc!

Kweli akili ya shisha utaiona tu!
Swala tunataka Sheria itende haki. Mkatataba wake ulisema akitaka kuuvunja anawarudishia fedha ya usajili. Karudisha. Tff ifafanue kisheria alikosea wapi?
 
Back
Top Bottom