Wachezaji wanaotoka nje ya Tanzania wana akili sana. Tulikuwa tunachukua ukimya wa Onyango na kudhani ni mjinga. Ona alichofanya Simba kushinikiza aidha auzwe, akatishe mkataba au apangwe kama mkataba unavyosema. Simba wakaopt kumpanga na mgogoro ukaisha. Leo Mtanzania anayejiita mjanja anatoka nyumbani anatangaza ameshaacha kazi kwa kutokwenda kazini. Akishitakiwa kwà utoro kazini anapata watetezi eti si hataki kazi yao wamuache? Taasisi gani Mtu unachukua mshahara wa mwezi unakwenda kulipa bila kumjulisha mwajiri?