kadeti
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,364
- 1,482
Wanaohusika na maswala ya mipango miji pamoja na Tanroad tunaomba mtuondolee stendi ya mabasi apa NATA kwani ndo chanzo cha Foleni katika Barabara ya Nyerere, just imagine foleni ya magari inaanzia buzuruga ,unakaa barabarani mpaka muda wa kazi unakuishia ukiwa kwenye jamm.
Lakini hata pawepo na traffic polisi Bado situation ni Ile Ile....Kwa maana ya kwamba mpaka Traffic wanachoka maana kila mtu mwenye usafiri anajifanya ana haraka sana na mwisho wa siku ni kwamba tunajikuta tunaweka jamm.
Nampongeza sana askari Traffic anaitwa Dulla jamaa anapajulia sana pale, ni Bonge la mpambanaji...lkn uwa anazidiwa.
Bigup sana Staffsargent DULA
Jiji tunaomba mtuondolee hizi ofisi za mabasi apa NATA. Zinaleta sana Jamm.