jamanoma
Member
- Jul 9, 2017
- 21
- 38
Jamani naombeni muweze kunipatia majibu yenye uhakika na kitaalamu juu ya hoja tajwa hapo juu,mana pamekuwepo na maneno ambayo yananipa wakati mgumu kuamini juu ya kutumia kilevi cha konyagi kama mojawapo ya njia ya kuyeyusha mafuta mwilini na wengine wanaenda mbali zaidi na kusema hata kwa mtu mwenye matatizo ya presha na sukari ambaye ameshahuriwa kuto tumia pombe (BIA),anaweza kunywa konyagi mana yenyewe haina madhara kama yale yaletwayo na bia.
Sasa naomba kufahamu ukweli juu ya hili swala.
Sasa naomba kufahamu ukweli juu ya hili swala.