Swala la konyagi na uyeyushaji wa mafuta mwilini

Swala la konyagi na uyeyushaji wa mafuta mwilini

jamanoma

Member
Joined
Jul 9, 2017
Posts
21
Reaction score
38
Jamani naombeni muweze kunipatia majibu yenye uhakika na kitaalamu juu ya hoja tajwa hapo juu,mana pamekuwepo na maneno ambayo yananipa wakati mgumu kuamini juu ya kutumia kilevi cha konyagi kama mojawapo ya njia ya kuyeyusha mafuta mwilini na wengine wanaenda mbali zaidi na kusema hata kwa mtu mwenye matatizo ya presha na sukari ambaye ameshahuriwa kuto tumia pombe (BIA),anaweza kunywa konyagi mana yenyewe haina madhara kama yale yaletwayo na bia.
Sasa naomba kufahamu ukweli juu ya hili swala.
 
angalia viungo vya hio konyagi alafu uangalie kama vinaweza kukausha mafuta
 
Umedanganywa. Konyagi pamoja na pombe kali zingine (hata gongo) haziyeyushi mafuta. Ukiwa na lishe nzuri hata unywe namna gani vilevi hivi utanenepa tu kama wewe ni wa kunenepa. Ushahidi ni mini mwenyewe na marafiki zangu.

Bia kwa upande wakie inaweza kuchochea mwili kunenepa sababu ina wanga na sukari ndani yake. pia si nzuri kwa wenye maradhi ya sukari. Tofauti kabisa na pombe kali ambazo kwa asilimia nyingi (ukiondoa maji) ni mkaa tu (carbon).

Kwa hiyo mkuu kama una kisukari pendelea kunywa konyagi au pombe zingine kali. Lakini usitegemee konyagi iyeyshe mafuta mwilini. labda uwe unaila bila kula chakula vizuri. Hapo itakudhuru tu.
 
Marafiki zangu wote wapya na wazamani wanaotumia konyagi ni vibonge tena wanazidi kunenepeana tu tena wengine ni manguli kweli ,sembuse wewe lena kama unataka nguvu za kiume hapo mwake
 
Jamani naombeni muweze kunipatia majibu yenye uhakika na kitaalamu juu ya hoja tajwa hapo juu,mana pamekuwepo na maneno ambayo yananipa wakati mgumu kuamini juu ya kutumia kilevi cha konyagi kama mojawapo ya njia ya kuyeyusha mafuta mwilini na wengine wanaenda mbali zaidi na kusema hata kwa mtu mwenye matatizo ya presha na sukari ambaye ameshahuriwa kuto tumia pombe (BIA),anaweza kunywa konyagi mana yenyewe haina madhara kama yale yaletwayo na bia.
Sasa naomba kufahamu ukweli juu ya hili swala.

Inayeyusha maini tu Rogojin
 
Back
Top Bottom