Swala la kumpeleka Musonda Mazembe watupe Baleke, tutaumia

Kwani Yanga inahitaji Washambuliaji wangapi? Dube au Baleke?

Dube ni mzuri kuliko Baleke na Baleke ni mzuri kuliko Musonda. Ni vyema zaidi kama tukamsajili Dube na tufaye swap ya Kinzumbi kwa Musonda.
Baleke hakuna kitu ile miezi 6 yake ya mwanzo akiwa simba alikua na upepo tu ukiangalia hata magoli yake mengi yalikua ya kubahatisha
 
Pale Azam Dube amesaidia nini tofauti na kumfunga Simba? Yanga wakisajili watapata hasara, mechi anapocheza ni chache sana kutokana na majeruhi ya mara kwa mara, bora Yanga wamsajiri Dube, Bareke , Madinda abaki ila Guede aondoke,uwezo wake ni kawaida
 
Dube ni mchezaji mzuri sana.
Na kwa aina ya uchezaji wa Yanga basi atafunga sana na atasaidia sana.
Maana Dube anajua kufosi,yale magoli alokosa Mzize dhidi ya Mamelody kama ingelikua Dube basi Mamelody keshatoka.
 
Pale Azam Dube amesaidia nini tofauti na kumfunga Simba? Yanga wakisajili watapata hasara, mechi anapocheza ni chache sana kutokana na majeruhi ya mara kwa mara, bora Yanga wamsajiri Dube, Bareke , Madinda abaki ila Guede aondoke,uwezo wake ni kawaida
Duh mkuu mimi naona baleke hatufai

Bora guede abaki pamoja na dube aje
 
Mazembe walitaka pesa plus Musonda ndiyo watupe Kizumbi sasa hapo ni hasara .

Ila kwa Baleke ni swap deal ya players tu Musonda vs Baleke
Baleke akitulia ni mzuri sana, anajua kujiposition, tatizo kuna wakati anakosa nafasi za wazi kabisa!
 
Back
Top Bottom