Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Baleke hakuna kitu ile miezi 6 yake ya mwanzo akiwa simba alikua na upepo tu ukiangalia hata magoli yake mengi yalikua ya kubahatishaKwani Yanga inahitaji Washambuliaji wangapi? Dube au Baleke?
Dube ni mzuri kuliko Baleke na Baleke ni mzuri kuliko Musonda. Ni vyema zaidi kama tukamsajili Dube na tufaye swap ya Kinzumbi kwa Musonda.
Dube ni mchezaji mzuri sana.Pale Azam Dube amesaidia nini tofauti na kumfunga Simba? Yanga wakisajili watapata hasara, mechi anapocheza ni chache sana kutokana na majeruhi ya mara kwa mara, bora Yanga wamsajiri Dube, Bareke , Madinda abaki ila Guede aondoke,uwezo wake ni kawaida
Duh mkuu mimi naona baleke hatufaiPale Azam Dube amesaidia nini tofauti na kumfunga Simba? Yanga wakisajili watapata hasara, mechi anapocheza ni chache sana kutokana na majeruhi ya mara kwa mara, bora Yanga wamsajiri Dube, Bareke , Madinda abaki ila Guede aondoke,uwezo wake ni kawaida
Baleke akitulia ni mzuri sana, anajua kujiposition, tatizo kuna wakati anakosa nafasi za wazi kabisa!Mazembe walitaka pesa plus Musonda ndiyo watupe Kizumbi sasa hapo ni hasara .
Ila kwa Baleke ni swap deal ya players tu Musonda vs Baleke