William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Wafanyakazi walihitaji nyongeza za uhakika. Ila anachofanya sasa ni vituko tu. Kwa maisha haya elfu ishirini itasaidia nini. Watumishi wanaitaji vitendo zaidi.
Kwa wastani kila mtumisi kaongezewa buku tu kwa siku. Kwa maisha haya hiyo elfu moja inamaana gani?
Mwaka jana mliongeza elfu 2 eti punguzo la kodi. Hali za watumishi ni mbaya.