TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mfumuko wa bei haukiwa katika Hali hii. Ujue. Najaribu kuvaa viatu vya watumishi naona vinavyobana!!!Huenda meimosi ikaongezwa tena. Hiyo elfu 20 inayolaaniwa haikuwepo for 5yrs na kazi mlifanya hamkuacha.