William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Niliwaambia hili jambo hapa jamiiforums mkanitukana kwamba ninachuki na watumishi wa umma, hivi kwa akili zenu aslimia 23 mlitarajiwa kuongezewa shilingi ngapi? mtu ana basic ya 300k au 400 - 500k unategemea nyongeza ya shilingi ngapi na bado Mwigulu naye Kakaba tena benki, aki ya naniii maji lazima Muite mma. Bora jiwe alitwambia waziwazi jero lazima tuiheshimuWafanyakazi waliitaji nyongeza za uhakika. Ila anachofanya sasa ni vituko tu. Kwa maisha haya elfu ishirini itasaidia nini. Watumishi wanaitaji vitendo zaidi.
Mwaka jana mliongeza elfu 2 eti punguzo la kodi. Hali za watumishi ni mbaya.
Kwan samia ni mama yao na aliwazaa?? Wajue namna ya kujibeba na ikifika 2025 wasahau haya mambo wampigie kuraUko kwa ajira mpya wanalia no hela ya kujikimu no salary masikini wataishije ugenini huko hususanj walioenda mbali na mwakwao
Na huyo ndio tatizo kubwa,alipaswa aondoke madarakani kwa kumfanya Rais aonekane ni Muongo,amemfanya asiaminike tena,kila hotuba zake watakuwa wanamchora tu kama ilivyo kwa mzee wa Luangwa kule LindiWaziri wa fedha ni phd holder ya mchongo tutegemee maumivu zaidi
Ni kweli inawezekana,kwa nn wadanganye sasa,si wawe wazi?Serikali haina hela ya kulipa nyongeza tajwa
Nikwambie serkali hii ya mama Samia inachawa wengi na watanzania walivo wapuuzi kazi yao kishangilia hakuna kinachofanyia Maneno mengi Vitendo zero! Ameomgeza 23,000 lakini akaweka tozo ya miamala ya benki! Bora ya JPM aliwaambia ukweli na bidhaa nyingi alijitahidi kuzishusha! Ama kweli Dr Hossein Mwinyi bora angekuja yeye huku bars awe Raid ila huyu bibi brabra tu!Ni kweli inawezekana,kwa nn wadanganye sasa,si wawe wazi?
Aiseee pale tumepigwa hatuna minister.Waziri wa fedha ni phd holder ya mchongo tutegemee maumivu zaidi
Nisehemu tu ya tatizo ila sio tatizo lenyewe. Fanyeni analysis zaidiWaziri wa fedha ni phd holder ya mchongo tutegemee maumivu zaidi
Acheni maneno jamani,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni nyie watumwa wa umma.......Uko kwa ajira mpya wanalia no hela ya kujikimu no salary masikini wataishije ugenini huko hususanj walioenda mbali na mwakwao
Kazi imelaaniwa wakati hao ndy waliokufanya ujue hata kuitumia jf kwa kujificha nyuma ya keyboard wewe mbwa??Wengi wanaolalamika ni WALIMU, hii kada imelaaniwa kwa kweli.