CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
- #41
tatizo la kuunganisha mitaji ni katika mapato, biashara za partnership zina hatari yake kama vile watu kuuana ili m1 afaidike usione tu hizo kampuni zimekuja tu tanzania huwez jua nani damu yake imemwagika mpaka zilipo fika hapa...hizo za kutoka nje...
Ndo kisingizio, Mimi napingana na wewe kwa 100% na hii ndo inatumika kama ngao ya kuhararisha watu kutengana.
Mkuu hivi watu kama 5 wameunganisha Mitaji yao pamoja na kuunda kampuni na wamegawana hisa kulingana na mitaji na katika kampuni ameajiriwa Mkurugenzi mtendaji, Kuna secreatary, ana wafanya kazi wengine, na katika kampuni umewekwa wazi kabisa kwamba mgao wa faida utakuwa kama ulivuo ainishwa kwenye katiba, sasa kurushana kuna toka wapi?
Huu ni uoga wa hali ya juu, hamuwezi unagana mkaanzisha kampuni then Murushane, huko kurushana kuna kuja vipi wakati kampuni inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba?
Mfano
kampuni inashare 10,000
Wamiliki
1. Anashare 3000
2. Anashare 2000
3. Anashare 2500
4. Anashare 1000
5, Anashare 1500
Na watu wanagawana Faida kwa % ya share walizo nazo baada ya kuwa wametenga fedha kwa ajili ya kuendeleza kampuni, make kampuni hawagawani faida yote kwa asilimia 100 wanaweza kugawana asilimia 60 ya faida na nyingine ikawa ni kwa ajili ya kuendeleza kampuni, Sasa naomba unijibu kurushana kuna anzia wapi na kunaishia wapi