Sonimbusilo
Member
- Aug 12, 2024
- 12
- 47
Kulikoni? Swala Solution, Barrick Gold Corporation na Rostam Aziz huko Kwenye Migodi Yetu?
Kwa nini Kuna asili ya watu Fulani wenye asili Fulani ndo wanapewa Nguvu na Barrick Gold Kwenye Migodi?kwa Nini wanatamba kuwa Rostam Aziz hafanywi Chochote na watachukua Kazi zoote za wazawa migodini?
Tuko Kwenye uchunguzi why? Swala Solution ana Nguvu? anapata wapi Nguvu? Kila kitu kitawekwa wazi na Mitandao huu, Watanzania amkeni Rostam Aziz anarudi kila Kona.
Watanzania bado tuna kumbukumbu Sawa kuwa kampuni yetu ya kitanzania Kwenye Migodi inayomilikiwa na Barrick Gold Corporation Ni Twiga Minerals Corporation yenye asilimia 16 na Bahati nzuri Juzi Juzi tumeona imetoa Gawio Serikalini Tsh Bilion 53.4, Sasa huyu Swala Solution Ni Nan? Why? Swala Solution, Barrick Partner?
Mbona huyu Swala Solution alishawahi fukuzwa Baadhi ya Nchi Kama Congo, Sasa kwa Nini Swala Solution anapata Nguvu Kwenye Migodi Yetu? Tanzania kampuni yetu Mbia Ni Twiga na si Swala Solution? Mwisho wa Siku tusisikie vilio kwa wazawa wanaofanya Biashara huko migodini, kumbukumbu sawa.