Gamic
JF-Expert Member
- Jun 24, 2021
- 1,156
- 2,271
Kumbe rostam ni sukuma gang . Huko siasani wanamuita King-maker kisa ana kipaji cha kuwaweka mfukoni marais wetu wanaokuwa madarakani. Ila jamaa anajua jinsi ya kuzitafuta hela .Rostam ni Mzawa wa Mwisi Wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora.