Kumbe rostam ni sukuma gang . Huko siasani wanamuita King-maker kisa ana kipaji cha kuwaweka mfukoni marais wetu wanaokuwa madarakani. Ila jamaa anajua jinsi ya kuzitafuta hela .Rostam ni Mzawa wa Mwisi Wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora.
CCM ni Chama kilichosheheni Wezi na Wapigaji miaka yote, Rushwa kila mahali.Kumbe rostam ni sukuma gang . Huko siasani wanamuita King-maker kisa ana kipaji cha kuwaweka mfukoni marais wetu . Ila jamaa anajua jinsi ya kuzitafuta hela .
Hv unadhani kwanini Obama alikiwa rais marekan ilishangaza watu.....Umeongelea RANGI ya Rostam kwamba "kwa Rangi yake hawezi kuitendea huruma NCHI hii..."
Nilitaka nimuulize swali hilihili, utakuta mleta mada ndie mdau mkubwa wa kulalamikia ubaguz wa rangi huko USA halafu kumbe na yeye ni yuleyuleRostam sio mzawa?!
Hivi Yesu ni Mtanzania ina maana akirudi tutamfukuza?!Rostam hana asili ya utanzania so kwake kutapeli nchi ni swala la kunusa
Ni mzaliwa wa Mkoa wa Tabora!Huyu jamaa alishakuwa mbunge anakuwa vipi tena sio mzawa
Ni Mtanzania kamili wa kuzaliwa π πKuna jambo sijakuelewa. Swala Solution kuwa Kampuni ya Rostam shida iko wapi? Unajua kuwa Twiga Ni kampuni ya Ubia kati ya Barrick na GoT? Kama Barrick ni existing Company, shida iko wapi ikiwa na mbia intakaye? Au Ristam ni persona non granta hapa Tanzania? Rostam alikuwa Mbunge, anakuwaje sio Mtanzania?
Ushahidi upooWe una ushahid kuwa ni mzawa?
Na mzee wake alizikwa pande hizo sioNi mzaliwa wa Mkoa wa Tabora!
Igunga au kijiji cha Mwamala Nzega !
Kwahiyo ni mzawa !
MuajemiNi mhindi
Sikumbuki kama Mzee wake alishafariki ,Na mzee wake alizikwa pande hizo sio
π― %Ushahidi upoo