Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #141
hahahahahaAkili mgando za kiafrika izo. au ni dada ako akiishiwa atakufata kukuomba?
dohWabongo kwenye ubora wetu, Acha kumuingilia mtu na maisha yake.
hahahaha 900 inapendeza!Sie wengine waty wakudandia tu, Na uhodari wetu ni kwenye kuibia vitu va watu
huko ndiko anakoelekeahuwa hampendi ukweli,mwambie asichezee pesa anazohongwa ajenge nyumba kwa maisha ya badae,uzuri utaisha,urakosa hata wa kukulipia chumba kiimoja