SWALI: Alisema amempendea Machine Mbona Kakubali kuwa Mke wa 2?!

Akili mgando za kiafrika izo. au ni dada ako akiishiwa atakufata kukuomba?
hahahahaha
Wabongo kwenye ubora wetu, Acha kumuingilia mtu na maisha yake.
doh
Sie wengine waty wakudandia tu, Na uhodari wetu ni kwenye kuibia vitu va watu
hahahaha 900 inapendeza!
huwa hampendi ukweli,mwambie asichezee pesa anazohongwa ajenge nyumba kwa maisha ya badae,uzuri utaisha,urakosa hata wa kukulipia chumba kiimoja
huko ndiko anakoelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…