I think njia sahihi ni kuwauliza scale zao ziko vipi kwa beginners, though hili swali mara nyingi huwa wanali-avoid!
So ikitokea wamegoma kutoa scale zao - its best that ukataja kiasi ambacho ni cha kawaida, sio juu sana na sio chini sana.
Ni vizuri pia kabla hujaenda kwenye interview kwenye hiyo kampuni jaribu kufanya research kiana ujue normally huwa wanalipa kiasi gani, that way you would have some idea atleast!
Lengo la kusema kiasi size ya kati ni kwasababu in most cases they would want to negotiate, sasa ukisema kiasi cha chini sana kwa kuhofu unaweza kukosa kazi - unaweza kujikuta unaishia kupata mshahara wa chini sana.
All the best!