Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
yupo active... kuna wimbo mzuri sana kaimba na mdada wa uganda huwa nauona TRACE
sema the only problem kwa huyu jamaa ni kwamba hajui kujibrand baaaaasi
yani ukitoa nyimbo zake hakuna kitu kingine kinachoweza kukufanya umfatilie
Aisee. ..
Ameimba wimbo gani?Za J2
Nilikuwa Kanisani nikaona Ben Paul kakaribishwa kuja kuimba, akaimba Gospel
Me nauliza tu Ben Paul kwani ameendaga wapi?!
Umaarufu wake umeisha?!
Ndio tumetoka Kanisani nasubiri atoke nipige nae selfie
Hahaha njoo WhatsApp nitakupaHoney Money Penny uki-upload picha uliyopiga na BenPaul nijulishe tafadhali
YESU NI MUNGUAmeimba wimbo gani?
Ibada imeshaisha muda
Mtoa mada hatumii serengeti boysmtoa mada usisahau kwenda nae gheto akakarabati kitanda chako
Ss shobo za nn?Mtoa mada hatumii serengeti boys
NI mama watoto wa tatu na mume mmoja anaejielewa
Kitu gan unachotaka kujibrand mana kutoa nyimbo ikafanya vizuri nibrand tosha mbona kina wizkid wapo kawaida ili afrika nzima ni hotyupo active... kuna wimbo mzuri sana kaimba na mdada wa uganda huwa nauona TRACE
sema the only problem kwa huyu jamaa ni kwamba hajui kujibrand baaaaasi
yani ukitoa nyimbo zake hakuna kitu kingine kinachoweza kukufanya umfatilie
Hahaha njoo WhatsApp nitakupa
Anazile kiki zake za kijinga za kukaa uchi, atleast ile ya ebitoke ilimpaisha kidogoyupo active... kuna wimbo mzuri sana kaimba na mdada wa uganda huwa nauona TRACE
sema the only problem kwa huyu jamaa ni kwamba hajui kujibrand baaaaasi
yani ukitoa nyimbo zake hakuna kitu kingine kinachoweza kukufanya umfatilie
πππππππau huu uzi ni wa siku nyingi ulikua una load tu..
Kitu gan unachotaka kujibrand mana kutoa nyimbo ikafanya vizuri nibrand tosha mbona kina wizkid wapo kawaida ili afrika nzima ni hot
mekuona boss karibuHodi WhatsApp