Swali: Ben Paul jamani yuko wapi?!

Swali: Ben Paul jamani yuko wapi?!

yupo active... kuna wimbo mzuri sana kaimba na mdada wa uganda huwa nauona TRACE

sema the only problem kwa huyu jamaa ni kwamba hajui kujibrand baaaaasi

yani ukitoa nyimbo zake hakuna kitu kingine kinachoweza kukufanya umfatilie
Kitu gan unachotaka kujibrand mana kutoa nyimbo ikafanya vizuri nibrand tosha mbona kina wizkid wapo kawaida ili afrika nzima ni hot
 
Watu wanasema kahamia kwao Dodoma kujiunga na nduguze kuomba mitaa ya bunge na kulala stendi ya basi huku wakifanya mapenzi mchana kweupe tena mbele ya watoto zao. Nilimuona Ebitoke kalala kwenye box huku akiota ndoto na kusema kwa sauti kubwa kuwa Ben Pol turudi Bongo.
 
yupo active... kuna wimbo mzuri sana kaimba na mdada wa uganda huwa nauona TRACE

sema the only problem kwa huyu jamaa ni kwamba hajui kujibrand baaaaasi

yani ukitoa nyimbo zake hakuna kitu kingine kinachoweza kukufanya umfatilie
Anazile kiki zake za kijinga za kukaa uchi, atleast ile ya ebitoke ilimpaisha kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom