Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
weee! alitoka na nani tenaa!?Naamini kuna wanawake ukilala nao lazma upate mikosi. jamaa tangu atoke na cheusi mangala nyota nayo imefifia. Yan demu kamtia nuksi mwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weee! alitoka na nani tenaa!?Naamini kuna wanawake ukilala nao lazma upate mikosi. jamaa tangu atoke na cheusi mangala nyota nayo imefifia. Yan demu kamtia nuksi mwana.
yeleuuwiWatu wanasema kahamia kwao Dodoma kujiunga na nduguze kuomba mitaa ya bunge na kulala stendi ya basi huku wakifanya mapenzi mchana kweupe tena mbele ya watoto zao. Nilimuona Ebitoke kalala kwenye box huku akiota ndoto na kusema kwa sauti kubwa kuwa Ben Pol turudi Bongo.
ndooorooobooeeeAnazile kiki zake za kijinga za kukaa uchi, atleast ile ya ebitoke ilimpaisha kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
hajaelewa somo akishaelewa nitakuwa nimeshamaliza kuandika hadithi kama3,, mcheke tu😀😀😀😀😀😀😀
mmmmh! kweli? embu tupee iyo video hapa tuone!Yupo active...ameachia kibao kipya."Moyo Mashine Remix".
Ah...jamani kwani shobo tusi? watz hebu acheni mikwara mikwara bhana sote watu wazima hmu!nakutaarifu wewe usienifahamu wenzio wananifahamu mimi ni nani. chunja kinywa chako bra!
SAWA MKUBWAAAh...jamani kwani shobo tusi? watz hebu acheni mikwara mikwara bhana sote watu wazima hmu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazuri zuri flan ivi lkn