SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Akili hii utaikuta kwa wanawake wachache sana duniani nowadays.
Mwanamke wa kujitambua hivi ni 1 in a million. Wengine tunaoa ila tunaendeleza zoezi la kutongoza kwenye ndoa kila ukitaka kidude.Mara ununiwe mara, uambiwe nimechoka, mwishowe unaanza kubaka tu hamna vibe.

Inachosha mpaka unaona ya nini wakati ukiingia kitaa mizigo kibao halafu no limit! Lawama huanzia hapo tu utaskia mijanaume airidhiki...sasa ulitaka niridhike na manyanyaso yako au!
 
Kwa kweli inachosha, kibaya zaidi sasa hawataki kujifunza hata useme vipi hawaelewi mwisho wa siku wanakalia lawama kwa wanaume tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…