SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Tueleze alikutenda nini ili tujue tunakusaidia vipi,kwani yawezekana huo uamuzi uliochukua si sahihi...
Alininyanyasa
Alinisaliti
Alinikopa hela
Muongooo
Nimemvumilia hana kazi mpaka akapata akajiona wa maana nyauuu yuleee

Kanipotezea muda na wachumbaa
 
Kiukweli mimi bora nifungwe jela mwaka mmoja siwezi kuolewa na x wangu maana aliniboa kweli kweli.

Tena nahisi hata nikikubali kunioa nahisi ningekuwa nimenuna kila siku ndani ya nyumbaa.

Hili swali limenipa hasira mimi bora nifungwe Segerea kuliko kuolewa na X wangu aliniboa yani aliniuziii aiseee siwezi kabisaaaaa tena nalichukia balaaa.



Malaika wa Jr.
Hamna bora
 
Back
Top Bottom