Swali chokonozi: Hayati Magufuli aliwapigania wanyonge gani?

Swali chokonozi: Hayati Magufuli aliwapigania wanyonge gani?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
17,499
Reaction score
25,295
Ndugu zangu poleni na msiba.

Tukiwa tunaendlea na maombolezo ya JPM, naomba kuwajua wanyonge ambao huyu mtu aliwapigania na kuwatetea.

Hii itasaidia kuweka kumbukumbu sawa. Kabla hatujamwita na kumfananisha na masiya. Je wanyonge aliowapigania ni kina nani?

Aliwakuta wakiwa na hali gani kinaisha 2015? Amewaachaje hapo 2021 alipofariki?

Mnyonge wa Tanzania ni nani, anafanyah mini yupo wapi? Maswali haya yatasaidia.

Ni katika kipindi chake watumishi hewa walifujuzwa kazi bila kulipwa chochote hawa wanategemewa na wanyonge huko kwao.

Alipora KOROSHO za wanyonge huko Kusini. Hawa ni wanyonge.

Aliongoza makato kwenye mikopo ya elimu ya juu. Hii ilisumbua wanyonge hasa watumishi wa umma.

Vitambulisho vya Wamachinga yalikuwepo sasa vipi na biashara zinafanyika kiholela holela.

Ewe mnyonge wa Tanzania nikukute wapi?
 
Yani sisi watanzania isingekuwa Mungu divine intervention tungeangamia kabisa yani kukuputika. Wote sisi unproductive nchini na duniani. Hule mpango wa kupunguza rangi ya mkaa wa kina Bill gates ukianza rasmi uanzie kwetu. Watu hawajui tu utatunufaisha labda tukifa na baada ya kifo huko tutakuwa na maendeleo.
 
Tayari ni swali chokonozi.
No need of explanation
 
Maisha yamejawa na mambo mengi Sana ambayo mengine yanahitaji utulivu kuweza kuyapambanua. Kuna msemo wa kizungu unasema " empty words hamper the nation, hard work save it" sisi vijana tunaongea Sana polojo kuliko hata uwezo wetu wa kufanya kazi. Raisi sio malaika hawezi kufanya miujiza ambayo haiwezekani. Taifa linahitaji devotion yaani kujitoa kwa watu wake katika ubunifu, waminifu, uhodari, ujasiri, weledi na uchapakazi. Leo watu wachache wanamlaumu Raisi huku wengine wakitengeneza na maisha yanasonga vizuri. Vijana tuach polojo na degree zetu za copy and paste. Leo unasema Raisi alidhulumu kolosho, weka evidence na sio kupotosha watu. Zingene huwa ni propaganda za maadui ambao maslahi yao yamekinzana na maslahi ya umma. Kuwa Raisi wa wanyonge sio kuwagawi hela ni kuwapa watu confidence hasa grass root. Raisi wetu hakuwa malaika anakosea Kama wengine. Jiulize tukikupa wewe utafanya Nini? au tumpe baba yako mnywa gongo Kama atatoboa
 
Kama hata hujui kwamba korosho ziliporwa huko mkoa ya kusini 2017 basi wewe kweli una degree ya ku copy na kupest. Nilikuwepo mikoa hugo najua kilichotokea
 
Alitengeza zaidi propaganda kuliko ukweli halisi.Machinga aliwatumia kisiasa kwa kuhitaji kura zao na sio kwamba aliwapenda.
Huwezi kuwa mtetezi wa wanyonge huku ukiwabomolea nyumba zao,ukiwafukuza Kazi,ukila rambi rambi zao,ukiwasomesha namba ili wawe masikini.
 
Hoja ya kwanza nataka kukuhoji ni hilo swala la watumishi hewa.

Hivi wewe una akili sawa sawa kwanza.....?!

Yaani mtu amefanya kosa kisheria halafu unakuja kuandika kama hoja ya kutaka huyu mtu aonekane kaonewa, kweli upo serious we mkosa hekima?!

Hivi ni wapi umeshawahi kusikia mtu anaefoji na kughushi vyeti vya taaluma, akigundulika basi atasimamishwa kazi na kupewa zawadi ya kulipwa malipo kwa utendaji wake?!

No wonder hii inchi yetu ina sheria za kipumbavu sana muda mwingine kwenye taasisi nyeti kama uhamiaji, TRA na mashirika ya bima.

So ulitaka tuendelee kusapoti watu wanaodanganya kwa kutumia vyeti feki tu kwasababu wanafamilia zinawategemea?!

Upuuzi wa karne huu......... Yaani mtu anaandika kabisa kutetea uovu as if hakuna kosa hapo.....
 
Ubomoji wa nyumba kiholela bila fidia utawala huu umeacha maumivu kwa watu
Sasa ndugu, sheria za makazi zinasemaje kuhusu ujenzi ndani ya mipaka ya miundo mbinu kama barabara na reli, ujenzi juu ya maeneo yalimopita mabomba ya gesi, maji au mafuta, ujenzi chini ya nguzo za umeme, kujenga maeneo ambayo ramani ya miji inaonyesha kuwa ni sehemu ya wazi na imeachwa hivyo lwa kusudi la ujenzi wa aidha zahanati, shule au viwanja vya michezo...... ?!

Hivi hata kama mtu hauna akili unashindwa kuja na hoja za msingi juu ya taratibu za kiutendaji tena sheria ipo wazi kabisa na zinakemea hayo mambo mbona.... .....
 
Amevunja mikataba ya kimataifa kiholela sasa tujiandae gharama za kulipa na kuendesha makesi .... 😱
Hakuna kitu kama hicho. Hiyo mikataba mingi haikusainiwa na awamu ya magufuri. Mikataba imesainiwa kipindi cha awamu ya kikwete na mkapa.

Na hata wahusika wazee akina mkapa na kikwete wanakiri kuwa ile mikataba ilikuwa ni ya kimangungo na nyakati zile hawakuona madhara yake ila wanaona sasa....

Sasa ulitaka asitie hata jitihada kuivunja....?!

Tatizo watoto wa sasa hivi research hamfanyi mnategemea kupewa taarifa Twitter na kwenye mitandao mingine ya kijamii. Lema au tundulissu aandike jambo ninyi mumnukuu na kuandika upuuzi wake kama ndio maoni yenu.

Tumieni akili....
 
Back
Top Bottom