Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Ule ulikuwa wimbo tu kama ari mpya,nguvu mpya ,kasi mpya yaani uwongo juu ya uwongo mfano angalia uwongo wa elimu bure ndio utaelewa
Kama hata hujui kwamba korosho ziliporwa huko mkoa ya kusini 2017 basi wewe kweli una degree ya ku copy na kupest. Nilikuwepo mikoa hugo najua kilichotokeaMaisha yamejawa na mambo mengi Sana ambayo mengine yanahitaji utulivu kuweza kuyapambanua. Kuna msemo wa kizungu unasema " empty words hamper the nation, hard work save it" sisi vijana tunaongea Sana polojo kuliko hata uwezo wetu wa kufanya kazi. Raisi sio malaika hawezi kufanya miujiza ambayo haiwezekani. Taifa linahitaji devotion yaani kujitoa kwa watu wake katika ubunifu, waminifu, uhodari, ujasiri, weledi na uchapakazi. Leo watu wachache wanamlaumu Raisi huku wengine wakitengeneza na maisha yanasonga vizuri. Vijana tuach polojo na degree zetu za copy and paste. Leo unasema Raisi alidhulumu kolosho, weka evidence na sio kupotosha watu. Zingene huwa ni propaganda za maadui ambao maslahi yao yamekinzana na maslahi ya umma. Kuwa Raisi wa wanyonge sio kuwagawi hela ni kuwapa watu confidence hasa grass root. Raisi wetu hakuwa malaika anakosea Kama wengine. Jiulize tukikupa wewe utafanya Nini? au tumpe baba yako mnywa gongo Kama atatoboa
Kwamba neno wanyonge ilimaanisha kuwanyongaWanyonge = wa nyonge
Balanced equation
Sasa ndugu, sheria za makazi zinasemaje kuhusu ujenzi ndani ya mipaka ya miundo mbinu kama barabara na reli, ujenzi juu ya maeneo yalimopita mabomba ya gesi, maji au mafuta, ujenzi chini ya nguzo za umeme, kujenga maeneo ambayo ramani ya miji inaonyesha kuwa ni sehemu ya wazi na imeachwa hivyo lwa kusudi la ujenzi wa aidha zahanati, shule au viwanja vya michezo...... ?!Ubomoji wa nyumba kiholela bila fidia utawala huu umeacha maumivu kwa watu
Hakuna kitu kama hicho. Hiyo mikataba mingi haikusainiwa na awamu ya magufuri. Mikataba imesainiwa kipindi cha awamu ya kikwete na mkapa.Amevunja mikataba ya kimataifa kiholela sasa tujiandae gharama za kulipa na kuendesha makesi .... 😱