Swali chokonozi: Hivi bungeni Tulia Ackson anakaa kiti gani? Anagonga Meza naye?

Maenye pichanya bungeni ikionesha alipokaa aniwekee hapa.

Najaribu ku imagine alivyokaa huko kajampa nani na kigonga meza!

Same like yule atakavyo kuwa amevaa uniform ya jela ya ICC
Wenye nchi wamemuweka 'back bencha' ..
 
Advantage aliyonayo ni uhakika wa maisha. Hilo halipingiki.

Disadvantage ni kupokwa madaraka, heshima na nguvu aliyokuwa nayo. Hivi vinamla ndani kwa ndani hata akibisha
 
Usisahau kwamba hata uhuru kanyang'anywa
 
Back
Top Bottom