Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wewe nae huna mambo ya kufanya? Unakalia kujadili maisha ya watu!Naisubiria kwa hamu siku yake ya kuzaliwa Abdul Naseeeb mtoto halali wa Diamond Platnumz a.k.a Muuza Karanga na Hamisa Mobeto Chuchunge au ukipenda muite mbu (Anopheles) nataka kuona kama kweli Mondi atamfanyia party ya gharama kama anazowafanyia hawa Nillan na Tee au laah atamchinjia baharini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maana bajeti za party za Nillan na Tee ni zaidi ya milioni 200 ambazo zinatumika kwa siku moja tu ,sasa ngoja tuone kwa mtoto wa mbu/chuchunge kama naye atafanyiwa hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 657704Maskini haka katoto kanavyonyanyasika mpaka kanatia huruma kwa kweli .[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Umefuata nini celebrities forum kama sio kufatilia maisha ya watu?[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Wewe nae huna mambo ya kufanya? Unakalia kujadili maisha ya watu!
watakuwa na mpya akina nani?
Hawezi kufanyiwa na Majizo,Majizo sio mtoto wake huyo.Atafanyiwa na Majizo.
Lakini si lazima afanyiwe party ndio aonekane anapendwa.....Hamisa atapambana ili amfanyie party kubwa hata kwa kiingilio ili mradi kushindana na Zari......
Hamisa lazima akope ikiwezekana lakini party lazima amfanyie................
kuna timing kali sana yule demu anacheza na hawa kakutana nao watupu kichwani,siku ya kuwaacha wataimba haleluya kiukweliZari sidhani kama ana mapenzi ya dhati kama Hamisa
Hata mm naisubiria kwa hamukuna timing kali sana yule demu anacheza na hawa kakutana nao watupu kichwani,siku ya kuwaacha wataimba haleluya kiukweli
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hata mm naisubiria kwa hamu
true...Sema jinsi anavyo mwi ignore huyu mtoto ndio Mungu atakayembariki nakumfanya awe juu .siku zote huwa inakuwabhivyo .Hata yeye ndikoo alikotokea .Ila n kingine Dai ataanza kuporomoka taratibu mpaka Mungu amwonyeshe kuwa huyu mtoto Ni zaidi ya binadamu wengine unaowatunza
Hiyo ni kawaida kwa wanaume, ukizaa pembeni nje ya mama mkubwa ujue huyo mtoto atakosa favours za wale wa ndani. Sioni kwanini inaumiza watu kichwa. Zaa na Mume wako.Sema jinsi anavyo mwi ignore huyu mtoto ndio Mungu atakayembariki nakumfanya awe juu .siku zote huwa inakuwabhivyo .Hata yeye ndikoo alikotokea .Ila n kingine Dai ataanza kuporomoka taratibu mpaka Mungu amwonyeshe kuwa huyu mtoto Ni zaidi ya binadamu wengine unaowatunza
Watanzania rahisi.sana kuwadanganyaNaisubiria kwa hamu siku yake ya kuzaliwa Abdul Naseeeb mtoto halali wa Diamond Platnumz a.k.a Muuza Karanga na Hamisa Mobeto Chuchunge au ukipenda muite mbu (Anopheles) nataka kuona kama kweli Mondi atamfanyia party ya gharama kama anazowafanyia hawa Nillan na Tee au laah atamchinjia baharini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maana bajeti za party za Nillan na Tee ni zaidi ya milioni 200 ambazo zinatumika kwa siku moja tu ,sasa ngoja tuone kwa mtoto wa mbu/chuchunge kama naye atafanyiwa hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 657704Maskini haka katoto kanavyonyanyasika mpaka kanatia huruma kwa kweli .[emoji30] [emoji30] [emoji30]