Swali Chokonozi:Je Diamond mwakani atamfanyia party kubwa mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobeto?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Naisubiria kwa hamu siku yake ya kuzaliwa Abdul Naseeeb mtoto halali wa Diamond Platnumz a.k.a Muuza Karanga na Hamisa Mobeto Chuchunge au ukipenda muite mbu (Anopheles) nataka kuona kama kweli Mondi atamfanyia party ya gharama kama anazowafanyia hawa Nillan na Tee au laah atamchinjia baharini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Maana bajeti za party za Nillan na Tee ni zaidi ya milioni 200 ambazo zinatumika kwa siku moja tu ,sasa ngoja tuone kwa mtoto wa mbu/chuchunge kama naye atafanyiwa hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Goodnight+_star_%EF%B8%8F_crescent_moon_.jpg
Maskini haka katoto kanavyonyanyasika mpaka kanatia huruma kwa kweli .[emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Naisubiria kwa hamu siku yake ya kuzaliwa Abdul Naseeeb mtoto halali wa Diamond Platnumz a.k.a Muuza Karanga na Hamisa Mobeto Chuchunge au ukipenda muite mbu (Anopheles) nataka kuona kama kweli Mondi atamfanyia party ya gharama kama anazowafanyia hawa Nillan na Tee au laah atamchinjia baharini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Maana bajeti za party za Nillan na Tee ni zaidi ya milioni 200 ambazo zinatumika kwa siku moja tu ,sasa ngoja tuone kwa mtoto wa mbu/chuchunge kama naye atafanyiwa hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

View attachment 657704Maskini haka katoto kanavyonyanyasika mpaka kanatia huruma kwa kweli .[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Wewe nae huna mambo ya kufanya? Unakalia kujadili maisha ya watu!
 
Mi nitamfanyia Gaude party kubwa ya gharama. Anzisha threads hiyo story.
 
Atafanyiwa na Mwijaku
Lakini si lazima afanyiwe party ndio aonekane anapendwa.....Hamisa atapambana ili amfanyie party kubwa hata kwa kiingilio ili mradi kushindana na Zari......
Hamisa lazima akope ikiwezekana lakini party lazima amfanyie................
 
Atafanyiwa na Majizo.

Hawezi kufanyiwa na Majizo,Majizo sio mtoto wake huyo.
 
Sema jinsi anavyo mwi ignore huyu mtoto ndio Mungu atakayembariki nakumfanya awe juu .siku zote huwa inakuwabhivyo .Hata yeye ndikoo alikotokea .Ila n kingine Dai ataanza kuporomoka taratibu mpaka Mungu amwonyeshe kuwa huyu mtoto Ni zaidi ya binadamu wengine unaowatunza
 
Atafanya sana tu ila indirect,, atajifanya hausiki ila mashauzi yataonekana kwa hamisa
 
Sema jinsi anavyo mwi ignore huyu mtoto ndio Mungu atakayembariki nakumfanya awe juu .siku zote huwa inakuwabhivyo .Hata yeye ndikoo alikotokea .Ila n kingine Dai ataanza kuporomoka taratibu mpaka Mungu amwonyeshe kuwa huyu mtoto Ni zaidi ya binadamu wengine unaowatunza
true...
 
Hiyo ni kawaida kwa wanaume, ukizaa pembeni nje ya mama mkubwa ujue huyo mtoto atakosa favours za wale wa ndani. Sioni kwanini inaumiza watu kichwa. Zaa na Mume wako.
 
Naisubiria kwa hamu siku yake ya kuzaliwa Abdul Naseeeb mtoto halali wa Diamond Platnumz a.k.a Muuza Karanga na Hamisa Mobeto Chuchunge au ukipenda muite mbu (Anopheles) nataka kuona kama kweli Mondi atamfanyia party ya gharama kama anazowafanyia hawa Nillan na Tee au laah atamchinjia baharini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Maana bajeti za party za Nillan na Tee ni zaidi ya milioni 200 ambazo zinatumika kwa siku moja tu ,sasa ngoja tuone kwa mtoto wa mbu/chuchunge kama naye atafanyiwa hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

View attachment 657704Maskini haka katoto kanavyonyanyasika mpaka kanatia huruma kwa kweli .[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Watanzania rahisi.sana kuwadanganya

Party ya milioni 200

Hahahahahha

Hahahahaha

Hahahahahahahah

Kwa akili hizi nineelewa kwa nini CCM ipo madarakani zaidi ya miaka 50!!!
 
Back
Top Bottom